7/08/2004

Babu Seya

Suala la Babu Seya linajadiliwa kwenye makala yangu ya kwenye gazeti la Mwananchi jumapili hii. Soma. Nipe maoni yako.

3 Maoni Yako:

At 7/08/2004 11:33:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Shusha vitu. Tunasubiri hiyo jumapili.Babu Seya wamemmaliza kabisa.

 
At 7/09/2004 12:01:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Yaani unataka kusema kuwa ukimwi sio adhabu kutokana na ufirauni?

 
At 7/12/2004 05:10:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Mambo vipi mzee? naamini poa sana!!!
Habari za "Mtoni"?
Any way, napenda kukushukuru kwa makala zako mbalimbali ambazo tunazipata kupitia baadhi ya magazeti hapa nchini. Ni kazi nzuri ya kuelimisha sehemu ya jamii yetu ya Kitanzania na wengineo wote. Keep it up Brother!!
Swala la "Babu Seya" ni kweli limegusa hisia za watu wengi kwa sababu mbalimbali. Lakini ukweli ni kwamba sisi kama watu wa kawaida (ordinary people) hatujapata mwenendo mzima wa kesi hiyo (proceedings), kutoka aidha kwa vyombo vya habari au penginepo, hivyo ningependa kuwashauri watu wote wanaoifuatilia kesi hiyo kama mimi na wewe kuwa watulivu wakiendelea kungojea maamuzi ya mahakama ya kuu kutokana na rufaa iliyowakilishwa na wakili Nyange.
Maoni yangu:
Naona si vema kwa mtu kutenda makosa na kutoadhibiwa ipasavyo, kama ndiyo jamii yetu imehamua kufuata haki, basi na tutoe hukumu ya haki. Nadhani kesi hii ilivutia wengi kutokana na umaarufu wa watuhumiwa. Ila nitasikitika pia kuona kwamba hawakutenda makosa hayo ila wamesingiziwa kwa sababu zozote zile. Huku nyumbani kuna mengi sana yanasemwa behind this case!! Tutasikitika sana kama itakuwa kinyume na haki!!

Ni rastasoldier2000@yahoo.com

 

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com